Unataka la bure? Au la kununua? Ukipewa wazo tu bila utekelezaji wake si unaweza kushindwa kufikia lengo? Ka nini usitangaze unanunua wazo la uwekezaji (biashara/ujasiriamali) lakini liwe na andiko lake, vipi limefanyiwa upembuzi yakinifu na utekelezaji wake (Business Plan, Business Feasibility study & Business workplan) coz mtaji unao (5-15mil) hivyo hy ni sehem ya start up expenses! Naona itakuwa bora na utapata mawazo bora zaidi. Mtazamo tu Mkuu