Natafuta wataalam wa kuchimba kisima

Mangimeli

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,151
Reaction score
289
Wadau naomba maada kwa mtu anayejua hawa jamaa wanakopatikana mimi naishi dar kigamboni asanteni
 
Ebwana nilikuwa na namba ya mmoja naona nimeimisplace ngoja niisakanye. Nikiipata tu ntakupatia mkuu.... Ila gharama nakumbuka ni 2.5 M ununue vifaa mwenyewe au 3.5 hivi Kila kitu juu yake.
 
Nadhani pale maeneo ya ESAURP kuna jamaa wanaitwa DDCA wazuri sana ila gharama haizidi laki 3. Unaweza kuwa check
 
Asante mdau ila mi bajeti yangu ni 3m kila kitu kwao
 
Ebwana nilikuwa na namba ya mmoja naona nimeimisplace ngoja niisakanye. Nikiipata tu ntakupatia mkuu.... Ila gharama nakumbuka ni 2.5 M ununue vifaa mwenyewe au 3.5 hivi Kila kitu juu yake.

Naisubiria mdau!
 
Dah nilijisahau kaka... Wa kwanza ni huyu 0714 116 247.... Na mwingine anaitwa Rashidi 065 638 9066. Bado sijafanya nao kazi japo nilichukua details zao kwani nataka kuchimbia pia. ukifanikiwa utatuletea mrejesho kaka. Kila jema
 
Pamoja sana mdau ngoja niwacheki
 
Ukishachimba uniletee sample ya maji niiangalie kama haina chembe za urani,kinyesi n.k

Maeneo ya kigamboni, maji yake yapo poa tu mdau sijui kinyesi, uranium na nk, kwa waliochimba tayari wamepima mdau
 
Wadau naomba maada kwa mtu anayejua hawa jamaa wanakopatikana mimi naishi dar kigamboni asanteni

Wakala wa visima na mabwawa kabla ya kuingia geti la chuo kikuu (mlimani) wanafanya kazi hizo kwa kwango cha juu. Gharama inategemea eneo na upatikanaji wa maji.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…