Natafuta wanunuzi wa miti

Natafuta wanunuzi wa miti

lillies

Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
47
Reaction score
16
Habari wana jami,

Natafuta wanunuzi wa miti iko shambani njombe.
kwa mawasiliano 0755 238761
 
Ungepiga pich msitu na uanishe ni aina gani
 
Mi nimeuza msitu mufindi kwa mfumo huo
 
Mi nimeuza msitu mufindi kwa mfumo huo
asante kwa ushauri mkuu kama unamtu unamfahamu angependa kununu tena unaweza kuniunganisha kwa kumpatia number yangu 0755238761
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom