SPERMATOZOA
Senior Member
- Aug 3, 2012
- 133
- 44
Salaam,
natafuta wall papers za kukava ukuta. Kwa anaejua zinapatikana wapi tafadhali naomba kufahamishwa.
mbona zipo pale mi nilienda last week nikapataNiliwahi kusikia zinapatikana pale karibu na Billcanas lakini sikufanikiwa kupata, mwenye kujua wapi zinapatikana anijulishe nami