Natafuta wakunipenda

SOKETI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
206
Reaction score
50
Salam,

Natafuta binti wa kunipenda katika msimu huu wa wapendanao,

VIGEZO,

Umri miaka 18 hadi 24, mweusi, asiwe mnene , mrefu, mtanzania, anayejieshimu.

Aliye tayari ani PM
 
Huyo wa pili alizaliwa hivyo au urembo na pozi la picha
 
Wa kukupenda sana ni mama yako tu
 
Wa kukupenda sana ni mama yako tu

kweli kabisa lakini naamini kuna watu wengine wanaweza kuwa na upendo unao karibiana na wa mama ndo maana kila mwanamke anauwezo wa kuwa mama
 
hakuna mwenye vigezo humu, au hamna nayenitaka:crying::crying::crying:
 
πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
 
Dinazarde natamani uwe wewe..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…