Mimi ni mvuta Sigara maarufu wa aina ya Sportsman inayotengenezwa na Tanzania Cigarette Company (TCC), kama miezi miwili iloyopita nimekuwa na uzito kwenye kifua, pumzi kubana na kukohoa mara kwa mara,lakini jana niligundua kuwa nimekuwa nikivuta Sigara inayoitwa Portsman kwa kipindi kirefu bila kujua na naamini imesababishwa na hii brand isiyokuwa yangu na kwa hilo nataka kuwafungulia mashtaka hawa Ndugu zetu, Hivyo basi natafuta wakili mzoefu wa shughuli kama hii ili niweze kupata fidia kwa maradhi waliyonipa hawa jamaa,Ushahidi pekee nilionao ni maganda ya Sigara niliyotumia na ripoti ya daktari inayoonyesha kuwa naumwa kifua pamoja na X-ray
Sasa utamshitaki yupi hapo mkuu,mtengenezaji wa Sportsman au wa hiyo nyingine Portsman....Halafu kwenye Pakiti ya Sigara kuna Onyo: 'Uvutaji wa Sigara ni Hatari kwa Afya yako',we hukuliona hilo????,kimsingi hapa imekula kwako aiseeMimi ni mvuta Sigara maarufu wa aina ya Sportsman inayotengenezwa na Tanzania Cigarette Company (TCC), kama miezi miwili iloyopita nimekuwa na uzito kwenye kifua, pumzi kubana na kukohoa mara kwa mara,lakini jana niligundua kuwa nimekuwa nikivuta Sigara inayoitwa Portsman kwa kipindi kirefu bila kujua na naamini imesababishwa na hii brand isiyokuwa yangu na kwa hilo nataka kuwafungulia mashtaka hawa Ndugu zetu, Hivyo basi natafuta wakili mzoefu wa shughuli kama hii ili niweze kupata fidia kwa maradhi waliyonipa hawa jamaa,Ushahidi pekee nilionao ni maganda ya Sigara niliyotumia na ripoti ya daktari inayoonyesha kuwa naumwa kifua pamoja na X-ray