Mimi ninaandika nyimbo. Ningependa pata mtu wakuimba.Sijakuelewa vizuri, nieleweshe mkuu
Usijali, unaweza nicheki pm pia au email mistaritz@gmail.comWeka no yako ya simu mkuu
Inawezekana kiongozi. Ila ningependa sikia demo uliyowahi fanyaMkuu mi napenda ngoma za kuchezeka kama za dj maphorisa a.k.a uhuru...unaweza tunga mistari na melody za aina ile?
Hizo nilizo post ni free, manake pm nauizwa sana
Checking me inboxMi nipe nyimbo ya ku rap, napenda kuimba rap ila sijui kutunga,