Natafuta wahudumu wa bar

benbry

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
183
Reaction score
55
Natafuta wahudumu wa kike wanne, warembo, wenye mvuto wa kuhudumia vinywaji.

Bar ipo Tuangoma karibu na Funcity, maslahi ni mazuri sana.

Kwa mawasiliano nicheki 0713322856.
 
Natafuta wahudumu wa kike wanne, warembo, wenye mvuto wa kuhudumia vinywaji.
Bar ipo Tuangoma karibu na Funcity, maslahi ni mazuri sana.

Kwa mawasiliano nicheki 0713322856.
Nimemtumia mtu atakupigia
 
Toangoma haipo karibu na Funcity labda useme Mwembe mtengu.

Kukiwa na kazi nyengine hapo nistue nipo mikwambe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…