Embu muite huku kwenye fursa maana kule kaongea kwa uchungu sana aiseehkuna mdau huku anatafta kazi Avatar ake inaitwa dracular ana gedree sijui ya nini tena!!
Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
Ok ngoja nikutumie CV km zitakidhi vigezo tutakuwa pamojaJinsia yeyeto I mean ME or FE
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Maombi yanatumwa CV au email tu inatosha ?Natafuta Wafanyakazi Wahasibu Watatu na Customer services Watatu ambao Wataweza Kufanya kazi Katika Kampuni yangu.... Kampuni inahusika na Ukopeshaji Wa Fedha hapa hapa Dar es salaam. Sifa Diploma holder au Digree. Any one interested atume Maombi yake : Email sararaphael088@gmail.com.
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Dada Sara naomba unisaidie kwa hali na mali nipate hiyo nafas nisitiri mwenzio nisiabike maana yangu kimaisha si nzuri familia inanitegemea mie.Natafuta Wafanyakazi Wahasibu Watatu na Customer services Watatu ambao Wataweza Kufanya kazi Katika Kampuni yangu.... Kampuni inahusika na Ukopeshaji Wa Fedha hapa hapa Dar es salaam. Sifa Diploma holder au Digree. Any one interested atume Maombi yake : Email sararaphael088@gmail.com.
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
ThanksUr wlcome
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Ahsante mkuu ngoja tutume maombi... Ahsante sanaEmbu pitieni hapa mjaribu bahati zenu
cc dracular
cc Loy michael
cc ernestina romanus
cc MHILYA
cc ITEGAMATWI
Karibu sanaAhsante mkuu ngoja tutume maombi... Ahsante sana
Kwa hiyo kazi yako nakushauri tafuta pia wanasheria hata mmoja anayejua sheria vizuri atakufaa!! Pia tafuta baunsa mmoja maana ukimkopesha mtu pesa kurudisha ni mziki hapo lazima baunsa ahusike!! Yote kwa yote unahitaji mwanasheria!!Natafuta Wafanyakazi Wahasibu Watatu na Customer services Watatu ambao Wataweza Kufanya kazi Katika Kampuni yangu.... Kampuni inahusika na Ukopeshaji Wa Fedha hapa hapa Dar es salaam. Sifa Diploma holder au Digree. Any one interested atume Maombi yake : Email sararaphael088@gmail.com.
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
nimekupenda uko na roho nzur sana kama yaMke wangu vile.Embu muite huku kwenye fursa maana kule kaongea kwa uchungu sana aiseeh
This is the registered company, it doesn't need either Mwanasheria or Baunsa....... We work with small enterprise ambao wako registered pia and they have got authority ya kukufilisi endapo mteja hajafanya marejesho.!Kwa hiyo kazi yako nakushauri tafuta pia wanasheria hata mmoja anayejua sheria vizuri atakufaa!! Pia tafuta baunsa mmoja maana ukimkopesha mtu pesa kurudisha ni mziki hapo lazima baunsa ahusike!! Yote kwa yote unahitaji mwanasheria!!
Hongera sana na huo ndio ushauri wangu!!