Hujaandika biashara yako ni Nini? Unadhani mtu mwenye uzoefu wa kuuza na kusimamia Spare parts za magari anaweza kuwa na experience ya kuuza duka la nafaka kwa haraka?
Hujaeleza biashara yako iko wapi. Mkoa , wilaya Hadi kata ipi!
Toa maelezo zaidi Upate watu sahihi otherwise utapata watu na baadae utakuja kulialia humu
Ok mkuuNi hivi mimi nina mtaji bali i don’t have plan za biashara ndo maana nataka kushirikiana na watu ambao wana uzoefu wa biashara
Wenyewe wanisaidie ku plan kulingana na mtaji wangu
Location ni Dodoma Mjini mkuuMkuu location yako tafadhali watu tuna idea za kukutoa kimaisha kabisa taja location ili nijipime
Kwa uzuri huo kazi ulishapata🤣🤣🤣🤣🤣
Utapeli wangu ni upi? Kumpa location?Acha utapeli
Njoo dm tuyajengeNatafuta watu Hawa
Mtu ambaye ana uzoefu na kutengeneza plan za biashara
Mtu ambaye ana uzoefu na uuzaji wa biashara
Na mtu ambaye ana uzoefu na usimamizi wa biashara
I am serious
Nina tafuta watu Hawa ili nifanye nao kazi
Kuna mwaka fulani, nilikuwa kijij fulani mkoani Mwanza.Natafuta watu Hawa
Mtu ambaye ana uzoefu na kutengeneza plan za biashara
Mtu ambaye ana uzoefu na uuzaji wa biashara
Na mtu ambaye ana uzoefu na usimamizi wa biashara
I am serious
Nina tafuta watu Hawa ili nifanye nao kazi
Wameibiwa kirahisi sanaKuna mwaka fulani, nilikuwa kijij fulani mkoani Mwanza.
Alikuja jamaa pale kijijini ambaye hakufahamika anatokea wapi. Akajenga urafiki na familia moja. Alikaa kama siku tatu hivi akidai kuna mambo anachunguza na amepita maeneo mengi mikoa ya kanda ya ziwa.
Siku chache baadaye akadai anahitaji wafanyakazi kwa ajili ya kiwanda ambacho jamaa yake anakianzisha huko Shinyanga na kwamba amewapata wenye sifa.
Akawajulisha na kuwauliza kama wako tayari. Wote walikubali.
Kisha akawaambia ameishiwa nauli wamchangie kila mtu sh. 30,000/ apeleke barua zao kwa mkurugenzi huko Dar na kwamba wajiandae tarehe fulani watahitajika kazini huko Shinyanga. Wakampa hizo hela, akaondoka na kwenda alikokwenda.
Njoo DmBiashara ya mazao kaka.hutajuta kwa hili.nitafute tuyajenge.