Natafuta wa kweli.

CABANA

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
422
Reaction score
557
Jamani wanajamvi.
Mimi kijana miaka 30.Elimu ya chuo kikuu,natafuta mpenzi humu ndani,awe miaka 22-29. Mweupe au maji ya kunde,sio mnene sana au mwembamba.dini awe mkristo.
 
HIV ndugu ! huyo wa zaman vip mfupi nini! acha ukwale,nipe #
 
Miaka 30 ni kijana au mzee?
 
Jamani wanajamvi.
Mimi kijana miaka 30.Elimu ya chuo kikuu,natafuta mpenzi humu ndani,awe miaka 22-29. Mweupe au maji ya kunde,sio mnene sana au mwembamba.dini awe mkristo.
Weweee! hebu set upya tangazo lako wewe ni kijana wa kike au wa kiume, maana watu tunataka kuanza kurusha mashairi yetu na kamwe mtu huwa hatoki sasa yasije kukuta makubwa kama wewe sio bint. kweli mitaala hamna (by mbatia) we ndio chuo kikuu?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…