Naona Muda mdogo wa kufanya kazi na Mungu!! Kwanini umeamuwa leo?
Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wakazi zangu
Mkoba mkuu mmoja
Mkoba wa kati
Mkoba mdogo
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40..!!
Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY...Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!!
Asanteni
Kama muda wa kukata roho huna promise nao? Kwanini unasema hutakuwa umechelewa!! Au unadhani kufa ni lazima uwe mzee?Kwa mungu hakuna kuchelewa.muda wowote yupo.
ILA isifike muda WA kukata roho hapo NI ngumu utakuwa umechelewa
Miguu 50*40 Kama Ni mita hiyo Ni sawa na mita square 2,000. Hapo msata kiwanja hicho si kitakuwa na thamani angalau 2,000,000???Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wakazi zangu
Mkoba mkuu mmoja
Mkoba wa kati
Mkoba mdogo
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40..!!
Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY...Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!!
Asanteni
Kama muda wa kukata roho huna promise nao? Kwanini unasema hutakuwa umechelewa!! Au unadhani kufa ni lazima uwe mzee?
Hahahaaaa mtani [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wakazi zangu
Mkoba mkuu mmoja
Mkoba wa kati
Mkoba mdogo
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40..!!
Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY...Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!!
Asanteni
Mkuu miguu siyo kipimo sahihi cha mita inategemea na anayepiga hatua, kama ni mfupi hatua moja haiwez kua mita 1,Miguu 50*40 Kama Ni mita hiyo Ni sawa na mita square 2,000. Hapo msata kiwanja hicho si kitakuwa na thamani angalau 2,000,000???
Nikiuza naweza pata hiyo?
Nakuja kurithi fasta.