Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Habari wakuu!
Anayeuza vyombo vya ndani kv: kitanda, godoro, vyombo vya jikoni n.k. tuwasiliane. Naomba uniPM namba yako na bei za vitu, ukinitumia picha itakuwa poa zaidi, kama huna uwezo wa picha basi ntakuja mwenyewe.
Asanteni.