Janja PORI JF-Expert Member Joined Jul 31, 2011 Posts 825 Reaction score 247 Feb 9, 2012 #1 wadau habari natafuta vitz used ama hata mpya bei nzuri. Pesa ipo cash tafadhali ni pm. Hata kama ni Rav 4 milango 3
wadau habari natafuta vitz used ama hata mpya bei nzuri. Pesa ipo cash tafadhali ni pm. Hata kama ni Rav 4 milango 3
Z Zion Train JF-Expert Member Joined Jun 5, 2008 Posts 501 Reaction score 80 Feb 9, 2012 #2 https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/221657-nauza-vitz.html
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Feb 9, 2012 #3 VITIS ndy nini mkuu, au ulimaanisha VITZ?
Janja PORI JF-Expert Member Joined Jul 31, 2011 Posts 825 Reaction score 247 Feb 9, 2012 Thread starter #4 vitzmkuu
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Feb 9, 2012 #5 Duuh ht gari unayotafuta hujui inaandikwaje..
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,200 Feb 9, 2012 #6 Mkuu umejaribu kwenye showrooms umekuta hakuna? Pesa umesema si tatizo, sasa cha kukufanya utafute iliyo mikononi mwa watu ni nini?
Mkuu umejaribu kwenye showrooms umekuta hakuna? Pesa umesema si tatizo, sasa cha kukufanya utafute iliyo mikononi mwa watu ni nini?
L ligimilo JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 301 Reaction score 75 Feb 9, 2012 #7 Haya vitz hii hapa bei 7.5M
V vunjajungu JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 576 Reaction score 246 Feb 9, 2012 #8 Vitz ya mwaka 2000,rangi dark blue,T226BFY,km 65800,bei 6.5 M.Nitafute 0719416969
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,509 Reaction score 11,442 Feb 10, 2012 #9 vunjajungu said: Vitz ya mwaka 2000,rangi dark blue,T226BFY,km 65800,bei 6.5 M.Nitafute 0719416969 Click to expand... Safi sana, short and clear. Bado kuweka picha tu hapo
vunjajungu said: Vitz ya mwaka 2000,rangi dark blue,T226BFY,km 65800,bei 6.5 M.Nitafute 0719416969 Click to expand... Safi sana, short and clear. Bado kuweka picha tu hapo
Janja PORI JF-Expert Member Joined Jul 31, 2011 Posts 825 Reaction score 247 Feb 10, 2012 Thread starter #10 wakuu nimepata tayari