Elvis Musiba,in marehemu kwa sasaVitabu kama Sanda. ya jambazi, Kikomo no1 na 2, njama, kikosi cha kisasi na vingine vingi vya mzee Ernest Musiba. Ikivisoma vitabu vya mzee Musibu, ilikua hamna haja ya vilamu tena.
Wako wapi watunzi wa vitabu hivi?,mbona watunzi wa sasa wengi wanatunga mapenzi tu au uchawi?
Namba 3 na 6 vinapatikana pale Mlimani City nenda kuna bookshop pale utavipataNi vitabu vya zamani lakini vilikuwa ni vizuri, vinaburudisha na kufundisha.
1. Hekaya za abunuwasi
2. Malimwengu 1-12
3. Adili na nduguze
4. Bulicheka na lizabeta
5. Abdul
6. Alfu lele u lela 1-4
7. Mzimu wa watu wa kale na vingine vingi vya zamani,kwa wale waliovisoma watakubalian nami, anayejua vinapopatikana anijulishe.