Thabit Karim JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 402 Reaction score 823 Aug 9, 2020 #1 Habari zenu. Naomba kuuliza kama kuna mtu anauza vipimo vya asali (honey refractometer) au naweza kupata kwa mtu gani au taasisi gani (connection) ya kuvipata hivyo vipimo kwa Tanzania
Habari zenu. Naomba kuuliza kama kuna mtu anauza vipimo vya asali (honey refractometer) au naweza kupata kwa mtu gani au taasisi gani (connection) ya kuvipata hivyo vipimo kwa Tanzania
Kim Jong Jr JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 11,570 Reaction score 21,529 Aug 10, 2020 #2 Unaweza kuagiza honey refractometer - Buy Quality honey refractometer on m.alibaba.com
Thabit Karim JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 402 Reaction score 823 Aug 15, 2020 Thread starter #3 Kim Jong Jr said: Unaweza kuagiza honey refractometer - Buy Quality honey refractometer on m.alibaba.com Click to expand... Vitu vimwshaanza kuingia nchini kutoka china?
Kim Jong Jr said: Unaweza kuagiza honey refractometer - Buy Quality honey refractometer on m.alibaba.com Click to expand... Vitu vimwshaanza kuingia nchini kutoka china?
Kim Jong Jr JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 11,570 Reaction score 21,529 Aug 15, 2020 #4 thabit karim said: Vitu vimwshaanza kuingia nchini kutoka china? Click to expand... Kila siku vinaingia
thabit karim said: Vitu vimwshaanza kuingia nchini kutoka china? Click to expand... Kila siku vinaingia
3 365 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 1,377 Reaction score 1,460 Aug 16, 2020 #5 Kuna jamaa anauza
Thabit Karim JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 402 Reaction score 823 Aug 28, 2020 Thread starter #6 365 said: Kuna jamaa anauza Click to expand... Naomba namba zake
Thabit Karim JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 402 Reaction score 823 Aug 28, 2020 Thread starter #7 365 said: Kuna jamaa anauza Click to expand... Na anauza sh ngapi?