Natafuta vifungashio

Rafia

Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
26
Reaction score
2
Habari zenu wapendwa.mimi ni mjasiriamali mdogo ninapack bidhaa mbalimbali zikiwemo ubuyu, visheti na tambi. Lkn changamoto yangu kubwa ni vifungashio. Naomba kwa anaejua vinapopatikana anijuze plz
 
Na mm natafuta hivyo hivyo, kuna vifungashio kama vinaseal juu huhitaji moto kufunga, naomba mtu anayejua vinapouzwa na bei zake tafadhali.
Kwa nyuma kama ni alminium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…