Habari wakuu. Nilikua naomba kuuliza kama kuna yeyote huku anayeuza au anayejua mahali ambapo ningeweza kupata moldi (vibobo) vya kutengeneza ice cream (barafu) nyingi. Inaweza kuwa kubwa au kufanana na picha niliyoambatanisha hapa kwenye posti. Asanteni sana.
Kachongeshe gerezanani kule kwenye karakana vya bati pieces 20 watakuanbia 35, 000 ila hivo ubaya wake ni kuwa vinatoboka na kupata kutu, kuna original vyake ambapo havitoboki wala kupata kutu pieces 40 sh 250,000 mpaka laki 3.