natafuta used photocopy machine.

natafuta used photocopy machine.

mama jemima

Member
Joined
Oct 8, 2011
Posts
15
Reaction score
1
Habari zenu.
Natafuta used photocopy machine yenye ukubwa na uwezo wa kufanya kazi, kwenye makazi ya wanachuo. Mwenye taarifa zozote na hii kitu tafadhali anipm tuwasiliane.
 
Kama upo Dar, nenda oposite na VETA kuna watu wanauza za aina mbalimbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom