Salama wakuu msaada natafuta USB 3.0 HUB kwa yeyote anayejua mahala zilipo naomba unijulisha tafadhali nipo Dar.
Msaada tafadhali laptop yangu ina USB port mbili tu, inakuwa vigumu sana km nina Flash disk, printer, Modem, simu n.k nikijaribu kutumia HUB za 2.0 network ina slow na wakati mwingine siwezi ku print...... mtu mmoja akashauri nitafute USB HUB YA 3.0 tatizo sijazipata....... . . . Pengine pana ushauri mwingine ?.