Natafuta ufadhili wa masomo

Jaman bodi ya mkopo wameninyima mkopo natafuta mtu wa kunisponsor

umepangiwa chuo gani? ada sh? na kama mtu anataka kukushauri au kukupa wazo lolote kuhusu masomo yako, atakupataje?
 
Unatafuta ufadhili halafu upo kibosi bosi yaani,unaandikaje kifupi kama mavi ya asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…