a man of wisdom
Senior Member
- Feb 1, 2017
- 183
- 151
350 anapata brand za mchina, hizi brand ndogo ndogo350k?
hata nch 32 utapata yenye changamoto
nch 43?350 anapata brand za mchina, hizi brand ndogo ndogo
Inch 32. Nimeisemea comment yakonch 43?
Alivyosema isiwe na kipengele anamaanisha anataka used.350k?
hata nch 32 utapata yenye changamoto
32 anapataInch 32. Nimeisemea comment yako
Isiwe na kipengele means isiwe na tatizoAlivyosema isiwe na kipengele anamaanisha anataka used.
Kwa bei hiyo anapata ila itakua Star X au hizi zingine.
Na used inchi 32 kwa pesa hiyo ni ataletewa nyingi mno.
Yea ni lugha inayotumiwa unapotafuta kitu used mtaani kwakua dukani bei itakua ya kitu kipya ambacho obviously hakitarajiwi kua na kipengele.Isiwe na kipengele means isiwe na tatizo
Asantee brooIpo mkuu, ila haionyeshi picha Wala kutoa sauti