elnino Member Joined Feb 14, 2014 Posts 75 Reaction score 26 Sep 29, 2020 #1 Habarini wakuu..! Naomba msaada kwa mdau yeyote anayejua sehemu ambayo naweza pata trays za mayai za PVC. Natafuta trays hizi kwa sababu zinarahisisha usafirishaji wa mayai
Habarini wakuu..! Naomba msaada kwa mdau yeyote anayejua sehemu ambayo naweza pata trays za mayai za PVC. Natafuta trays hizi kwa sababu zinarahisisha usafirishaji wa mayai