Toyota PREMIOWana JF
Nahitaji Toyota Premio Model mpya
Engine size CC 1450
Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya
Namba DZ au Namba E.
Mwenye nayo aje tuzungumze kwenye comments./Inbox
Pia mwenye Toyota Rush anicheck. Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya mkikausha.
AYA RUSH HIYO APO BOSSToyota PREMIO
0684739532
Engine: 1490 1NZ
Price: 13 ml
Asante mkuu, umeniambia kitu ambacho sijawahi kukijua. UbarikiweMkuu siingilii Maamuzi yako lakini nikushauri Engine ya Cc 1450 ni ndogo sana haina tofauti na ya Ist na ingekuwa vyema ungetafuta hata cc 1798 (1800) hii kidogo ina nguvu na usiogope ulaji wa mafuta tofauti ni kidogo mno..... Hii engine ndogo ya Cc 1400 ni nzuri kwa ulaji mdogo wa mafuta lakini kwenye safari ndefu inayohitaji kubeba mizigo kidogo na watu wanne kama ni wazito kidogo hutaipenda....(naongea kutokana na uzoefu)
Chukua ya cc 1798 utakuja kujishukuru mwenyewe baadaye....
Pata na hiii mzeee
Karibu sana bossnitakuchek mkuu
KaribuWana JF
Nahitaji Toyota Premio Model mpya
Engine size CC 1450
Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya
Namba DZ au Namba E.
Mwenye nayo aje tuzungumze kwenye comments./Inbox
Pia mwenye Toyota Rush anicheck. Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya mkikausha.
Hizi hesabu za gari gani??Bei ya gari (minimum) Dola = 2500x2750 = Tshs. 6,875,000
Gharama za usafirishaji/Inspection 1912 x 2750 = Tsh. 5,258,000
Handling charge 300,000 (Nimekadiria)
TRA Kodi na Ushuru Tshs. 10,708,961
Agency fee 300,000
Wakala wa meli 300,000 (Nimekadria)
ukijumlisha hizo utapata jibu
Hii budget Gani ukiagiza Japan?