Jua unataka ipi manual au auto,disel au petrol,maana hiyo ndivyo vikubwa vinvyoangaliwa wakati aw manunuzi,hiace dungu safi Kabisa ya Mwaka 2002 manual disel,5l engine ni dola 8500 bado hujaituma toka Dubai +ushuru,kwa ushauri zaidi SMS +971504374387...aksante
eti magari ya Dubai ni "3 in one" ?
Unavyosema 3 in one sijakuelewa vizuri...Dubai hawatengenezi magari ni yaleyale ya Japan ila yanaletwa Hapa kuuzwa na yanaingizwa Hapa bila ushuru ndio maana bei Yake si Kubwa sana