Natafuta Town Ace/ Lite Ace

Natafuta Town Ace/ Lite Ace

Lacute

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
336
Reaction score
164
Salaam,

Natafuta gari aina ya Town Ace au Lite Ace box body (body iliyojengewa) ya kukodi. Nataka kukodisha moja kwa moja toka kwa mmiliki sio dereva.

0623014440 Niko Dar es Salaam
 
Hata kama unamjua mtu anamiliki gari hiyo na inafanya kazi ya kukodishwa tafadhali niunganishe nae
 
Ni kwa ajili ya kazi ya Muda mrefu sio siku moja
 
Bado sijapata hii gari wakuu..
 
Hamna mwenye nayo jamani au hata anemjua mtu anaemiliki hii gari??
 
Mm natafuta ya kununua, iwe na Hali nzuri bei kati ya 8m Hadi 10m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom