moyAfricatzz
Member
- Mar 7, 2016
- 56
- 29
Mimi in mwanachuo wa Chuo Fulani pale Arusha,nasomea degree ya sheria na naingia mwaka wa pili mnamo mwezi wa kumi..natafuta kazi ya muda ya kufanya(part time) ili niweze kujiendesha...Nna uzoefu wa miaka miwili wa kufanya kazi..nina weza kufanya kazi yeyote halali..
Msaada tafadhali.
Msaada tafadhali.