Natafuta Tecno A3

Natafuta Tecno A3

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
wakuu natafuta simu tajwa hapo juu.. iwe mpya tafadhali weka na bei yako.
 
huko sh ngapi kuna mshkaji wangu anaenda huko nataka nimuagize

Ngoja ntaziulizia then ntakujuza but tecno siku hizi majanga mkuu nilinunuaga M3 nimeishia kuitupa touch ni majanga tupu
 
Ngoja ntaziulizia then ntakujuza but tecno siku hizi majanga mkuu nilinunuaga M3 nimeishia kuitupa touch ni majanga tupu

jaribu kugoogle hio phantom A3 ni nzuri sana
 
simu hii iko vizuri nunua tu. kila kitu ni matunzo mimi nilikuwa na htc desire tachi yake imechanganikiwa nagusa m inatokea y yaani tabutabu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom