MJIMPYA JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 506 Reaction score 273 Jan 11, 2023 #1 Mwenye hiyo tairi ya gari ya size tajwa tuwasiliane chap. Moja au 2. Mpya au hata kama imetumika iwe na hali nzuri. Niko DSM. Hakikisha ina size hiyo.
Mwenye hiyo tairi ya gari ya size tajwa tuwasiliane chap. Moja au 2. Mpya au hata kama imetumika iwe na hali nzuri. Niko DSM. Hakikisha ina size hiyo.
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,609 Reaction score 8,298 Jan 11, 2023 #2 Vipi umeibiwa sasa unamsaka mshikwa na ngozi?