Habari wadau wa JF, nahitaji supplier wa maembe mzigo wa jumla ndani ya mwaka mzima. Kwa mwenye taarifa yoyote yenye kusaidia anaweza nitafuta kwa 0756958798 muda wowote.

Mkuu Umeshindwa kuziudumia maana zina makovu sana,unaishusha thamani hiyo embe.Angalia uchumaji na Kuna dawa pia unaweza piga.Ungekuwa walau Canter tungeseti mitambo ila hizo tenga ziuzie Shamba hapo hapo na wanunuzi wadogo.