Wakuu natafuta sehemu ya kuweka mchele wangu toka mbeya kyela ili nianze kuuza maeneo ambayo ningependa iwe Mbezi mwisho au Tabata Reli au segerea kule bajeti yangu kwa mwezi haizidi laki
angalia location yenye watu wengi....maeneo kama banana au gongo la mboto pia mbagala..patakufaa kwa hii biashara.ni ushauri tu,unaweza kuchukua au kuuacha kama ulivyo.
angalia location yenye watu wengi....maeneo kama banana au gongo la mtoto pia mbagala..patakufaa kwa hii biashara.ni ushauri tu,unaweza kuchukua au kuuacha kama ulivyo.