shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,440
- 3,606
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nahitaji kununua steshrnari iliyokuwa tayari ina operate.
Mahitaji.
Iwe eneo zuri la kibiashara jiran na shule au vyuo au maofisi.
Bei tutajumlishiana vifaa pamoja na mashune zilizomo kwa ajili tayari tuwasiliane PM akitaja thamani ya ofisi pamoja na sababu za kuiuza eneo la ofisi ilipo na picha kama utaweza kuituma.
Hayo yote yafanyike PM..
Ahsanten karibuni.