cleokippo JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 2,148 Reaction score 1,851 Apr 15, 2020 #1 Habari zenu wanajamvi, bila shaka kichwa cha habari hapo juu kimeshajieleza. Mimi ni mfanyabiashara, nina gunia 20 za vitunguu swaumu sasa kwa yeyote anayefahamu soko zuri la bidhaa hii naomba ani inbox jamani Nitatoa kamisheni kidogo kwa atakayenitafutia soko. Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wanajamvi, bila shaka kichwa cha habari hapo juu kimeshajieleza. Mimi ni mfanyabiashara, nina gunia 20 za vitunguu swaumu sasa kwa yeyote anayefahamu soko zuri la bidhaa hii naomba ani inbox jamani Nitatoa kamisheni kidogo kwa atakayenitafutia soko. Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
onazi Senior Member Joined Apr 3, 2018 Posts 134 Reaction score 152 Apr 15, 2020 #2 Nairobi wana soko zuri ila shida Covid19 Sent using Jamii Forums mobile app