Sisi atuwaoni mbn hao wa million 1... wanaokuja ni wa laki wanadidimiza wakulima.... natumaini kutakuwa na sehemu ya kupeleka hao wanaokuja shamba atuwataki... tunatafuta soko wenyew, tumelima kwa vikundi wakichukuwa kwa laki aitunufaishi kwa chochote