Ndugu wana jamvi nimatumaini wote mnaendeleaa poa,,
Mimi nimjasiriamali,
naishi Mbozi vwawa, nimelima soya sasa natafuta soko kama kuna mtu anaconnction ya market naomba tuwasiliane kwa namba 0718221009 au
0744952984
Asanteni.
Ingia mbeya mjin maeneo ya mama john,mwanjelwa adi kabwe zunguka na ufanye research ya kutosha then ukafate mzgo....acha uvvu wa kutaka kila ktu upate mtandaoni