Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
Sema na madalali
Dar kuna Corona usije huku!
Mkuu subiri watakuja ila kwa kifupi mi naona usitarajie mtu atakupigia simu ili umpelekee mzigo ila cha msingi, chukua mzigo ingia nao sokoni baada ya kufanya uchunguzi wa soko na eneo la kuweka mzigo kabla ya kukutana na madalali mana hawakwepeki hao
Mzigo tayari upo sokoni stereo au upo Lindi?Nimefilikia soko la sterio
Tafuta njia ya kuzifikisha Madagascar hutajuta.Wakuu mambo vipi..
Nataka kuanza biashara ya kuuza nazi, nitazitoa mkoani Lindi na kuziuza DSM.
Naomba kujuzwa jinsi ya kupata soko kwa hapa DSM.
Thanks
Mkuu Mshana, ukiwa na mtaji wa kiasi gani, unaweza kudeliver Madagascar?Tafuta njia ya kuzifikisha Madagascar hutajuta
Jr[emoji769]
Ukipata soko tupe mrejeshoWakuu mambo vipi..
Nataka kuanza biashara ya kuuza nazi, nitazitoa mkoani Lindi na kuziuza DSM.
Naomba kujuzwa jinsi ya kupata soko kwa hapa DSM.
Thanks
Ukipata soko tupe mrejesho
Dalali soko la wapi mkuu?Nimepata dalali teyar, hapa ni kwenda kuchukua mzigo tu..
Kati ya M3 mpaka 5 kwa kuanzia.. Inategemea na ukubwa wa mzigo piaMkuu Mshana,ukiwa na mtaji wa kiasi gani,unaweza kudeliver Madagascar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uwezo wa kuleta Nazi ngapi na Bei yako Ni shilingi ngapi?? Kama upo interested njoo PMWakuu mambo vipi..
Nataka kuanza biashara ya kuuza nazi, nitazitoa mkoani Lindi na kuziuza DSM.
Naomba kujuzwa jinsi ya kupata soko kwa hapa DSM.
Thanks
Una uwezo wa kuleta Nazi ngapi na Bei yako Ni shilingi ngapi??Kama upo interested njoo PM
Usije ukaingia mikononi mwa MadalaliWakuu mambo vipi..
Nataka kuanza biashara ya kuuza nazi, nitazitoa mkoani Lindi na kuziuza DSM.
Naomba kujuzwa jinsi ya kupata soko kwa hapa DSM.
Thanks
Usije ukaingia mikononi mwa Madalali