NATAFUTA SOKO LA MUHOGO BARIDI

nyanda5

Member
Joined
Nov 25, 2014
Posts
49
Reaction score
40
Habari wadau, nililima mihogo baridi hekari 12 na sasa ipo tayari kuvunwa, hivyo kwa yoyote anaehitaji, au kama unafahamu wapi wananunua naomba kujua wapi wananunua. Hata kama sio kwa mzigo mkubwa biashara inafanyika tu, ukihitaji nikusafirishie hadi kwako pia nipo tayari.
 
Muhogo Baridi... Samahani, hyo baridi maana yake nini?
 
Nataka nikuunganishe na watu wa dar je huo muhogo baridi ni tofauti na huu wa pwani?
 
Nataka nikuunganishe na watu wa dar je huo muhogo baridi ni tofauti na huu wa pwani?
Ni muhogo unaotumika kuchemsha na kula au kukaanga. Tofauti inawezakuwa aina ya mbegu. Niliyonayo mimi ni mbegu ya asili sio ya kisasa. Hivyo kama inawezekana nisaidie kuniunganisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…