Wizzo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 723 Reaction score 256 Aug 11, 2014 #1 Wanajopo natafuta soko la mahindi popote Tanzania,mi niko Dodoma nina mahindi kama gunia 200 mwenye kunisaidia soko nikayauze.ajira hakuna nimeamua kujijiri mwenyewe
Wanajopo natafuta soko la mahindi popote Tanzania,mi niko Dodoma nina mahindi kama gunia 200 mwenye kunisaidia soko nikayauze.ajira hakuna nimeamua kujijiri mwenyewe
L ligalu16 Member Joined Oct 17, 2012 Posts 94 Reaction score 21 Aug 12, 2014 #2 Vipi kibaigwa mkuu? Mbona nasikia bei nzuri hapo?
N nguo Member Joined Apr 12, 2012 Posts 28 Reaction score 7 Aug 12, 2014 #3 Mahindi mwaka huu sio biashara wakulima wamepata mazao lakini soko hakuna.mahindi ya dodoma yanauzwa 300 kwa kilo.tanga 150.morogoro 200.imekua hasara kwa wakulima. Wafanya biashara wakubwa hawawezi kununua bado wana stock ya mwaka jana.
Mahindi mwaka huu sio biashara wakulima wamepata mazao lakini soko hakuna.mahindi ya dodoma yanauzwa 300 kwa kilo.tanga 150.morogoro 200.imekua hasara kwa wakulima. Wafanya biashara wakubwa hawawezi kununua bado wana stock ya mwaka jana.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Aug 12, 2014 #4 Wizzo said: Wanajopo natafuta soko la mahindi popote Tanzania,mi niko Dodoma nina mahindi kama gunia 200 mwenye kunisaidia soko nikayauze.ajira hakuna nimeamua kujijiri mwenyewe Click to expand... unauza gunia sh ngapi?
Wizzo said: Wanajopo natafuta soko la mahindi popote Tanzania,mi niko Dodoma nina mahindi kama gunia 200 mwenye kunisaidia soko nikayauze.ajira hakuna nimeamua kujijiri mwenyewe Click to expand... unauza gunia sh ngapi?
Wizzo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 723 Reaction score 256 Aug 12, 2014 Thread starter #5 gunia kwa 50000 kama uko tayari tutaftane