habari zenu wana jf.mimi nna ruby lakini ni high caboshon toka longido..natafuta soko la uhakika..kama kuna mtu ana connection nzuri afahamishe..asanteni
mkubwa hii ni red colourukipata pigeon blood red au pink au rose grade 1 au 2 ni pm.COD
Ndg Nina ruby madini tuwaciliane tupeane akili 0687093540Hiyo ruby ya longido michosho tu , ilinikata hela vibaya mno.
Ruby yako ni ya wapi?na iko kwenye ubora ganiHabari Nina madini aina ya rubby soko likoje