Mbona kimya wakuu? Nina migodi ya feldspar nyeupe, nyeusi na carrot.
Pia nina quarts za mapande na mchongo, ni glass tupu.
Umefunga pm yako tutafanyanye hiyo biasharaMbona kimya wakuu? Nina migodi ya feldspar nyeupe, nyeusi na carrot.
Pia nina quarts za mapande na mchongo, ni glass tupu.
Nilichukua claim kwenye kijiji fulani ni makosa soko la uhakika nikaondoka, labda nifuatilie tena. Imepita miaka mingi