B br jf Member Joined Dec 17, 2013 Posts 22 Reaction score 3 Jun 15, 2016 #1 Mimi ni mjasiriamali ambaye nataka kuanza kuuza asali ndani na nje ya nchi,nimefatilia na kupata wakulima wa asali na sasa natafuta soko la asali.Naomba kwa yeyote anayefahamu anijulishe.
Mimi ni mjasiriamali ambaye nataka kuanza kuuza asali ndani na nje ya nchi,nimefatilia na kupata wakulima wa asali na sasa natafuta soko la asali.Naomba kwa yeyote anayefahamu anijulishe.
kipusy JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 639 Reaction score 323 Jun 15, 2016 #2 Unauzaje dumu la lita 20?
B br jf Member Joined Dec 17, 2013 Posts 22 Reaction score 3 Jun 15, 2016 Thread starter #3 dumu la lita 20 nauza kwa Tsh 170,000