Natafuta soko la asali mbichi ya tabora

Natafuta soko la asali mbichi ya tabora

Joined
Aug 8, 2017
Posts
5
Reaction score
3
Nnatafuta soko la asali mbichi ya nyuki wakubwa.nauza sh180000/= kwa dumu la lita 20. Nina madumu 30 na bado nina uwezo wa kupata mengine kama yanahitajika. Kwa anayelifahamu soko tafadhali anicheki kwa 0752675368
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom