Pole jamaa, watu wanakutukana kwa kuwa hawaelewi maana ya 3d printing.
Ku print pilau pia inawezekana kwa kuwa so far waweza print vyakula kama pizza na burger. But itabidi hiyo pilau iwe na shape maalum inayoeleweka.
Natoa wito, wabongo tupende kujifunza, sio kupinga kila kitu.