Advance huwa hamna kitabu specific sana kama Syllubus inavyosema in short tuna tumia vitabu vya Njee Kwa kama S CHAND kutoka India Pure one ana two Tranter, Understunding mathematics na vingine vingi ila kuvipata Soft copy ww sahau na ukipata jua ni ile Scaning yake ,,, kama utapata uwezo nunua S chand zote mbili Class eleven and twelve ndo ambavyo vimeanza ingiliana na sylubus yetu sana