Natafuta smartphone

hiyo iphon ya 20k labda nimnunulie huyu dogo hapa hom achezee game
 
Chukua tecno y3 bado mpya kwa 120,000 tu.0712484858
 
Km kuna mdau anauza smartphone isiyozid sh 250000 anaweza ntafta kwa namba hii 0762192474
Kuna smartphones mbili
1. Sony experia kwa laki 2 na 80
2. Samsung s6 kwa laki 2 na 90
Niko dar
Kama uko serious nicheki kwa contact 0656 387577
 
Nina simu Redmin 2 kama uko ready fanya mawasiliano tufanye biashara.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…