Natafuta smartphone for 150,000

Natafuta smartphone for 150,000

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
360
Wadau mwenye smartphone USED kwa bei hiyo....naomba ucomment hapa na nintaPM ntakayelizika na ofa yake
 
Iyo bei unaeza pata blackberry curve au ideos used
 
Jitahidi Uongeze elf 25, kisha nenda kwenye duka lolote la Tigo utapata smart phone safi kabisa na mpya inaitwa Huawei.....Inauzwa 175,000. Inatumia Android 2.3 OS, Ni touch screen na inafanya kila kitu simu nyingine zinaweza.
 
Wadau mwenye smartphone kwa bei hiyo....naomba ucomment hapa na nintaPM ntakayelizika na ofa yake

inawezekana una'i'taji vifaa vya smart phone wewe ila umekosea kuandika tuu!
 
Jitahidi Uongeze elf 25, kisha nenda kwenye duka lolote la Tigo utapata smart phone safi kabisa na mpya inaitwa Huawei.....Inauzwa 175,000. Inatumia Android 2.3 OS, Ni touch screen na inafanya kila kitu simu nyingine zinaweza.
Last week Tigo wamenipa hii simu Bure Kama zawadi ya mteja wa muda mrefu , iko poa sana!!
 
Last week Tigo wamenipa hii simu Bure Kama zawadi ya mteja wa muda mrefu , iko poa sana!!
Uko nao muda gani? Hongera.
NB: Battery yake haikai sana, ila Download app killer yeyote itasaidi. Mi natumia Easy Battery Saver (Intelligent Mode) Inanisave sana.
 
tafuta tecno n3. utapata kwa shs 160000 k.koo
 
Uko nao muda gani? Hongera.
NB: Battery yake haikai sana, ila Download app killer yeyote itasaidi. Mi natumia Easy Battery Saver (Intelligent Mode) Inanisave sana.

Toka 2004 nafikiri.
Ni simu poa sana kwa kweli, Sijui kwanin inauzwa bei ndogo hivi. Sijajua kama kwenye maduka mengine ambayo siyo ya tigo hence ikakubali na laini zingine bei itakua ni hii hii!!
 
Toka 2004 nafikiri.
Ni simu poa sana kwa kweli, Sijui kwanin inauzwa bei ndogo hivi. Sijajua kama kwenye maduka mengine ambayo siyo ya tigo hence ikakubali na laini zingine bei itakua ni hii hii!!
Dah, Umejitahidi kwa kweli, miaka 9 sio mchezo. Inauzwa bei ndogo kwasababu ya Brand (Huawei). Ni Jina Dogo sana kwenye soko, huwezi fananisha na Samsung, HTC, iPhone nk... Lakini kwakweli Nimeshaona Simu za Huawei nzuri sana na Durable...
Kingine inaweza kuwa kwasababu haikubali simcard nyingine zaidi ya Tigo.

Anyways... Soko huria init?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom