[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ipo Itel.
Bei ya Dukani kitu new unakifungua kwenye box.chap kwa haraka njoo uchukue
SAMSUNG J1 ACE (bado mpya)
price: 190k
Hii simu ikitokea imezima haifufuki tena mpaka siku ya mwisho itakapokuja kukufufuliwa na Bwana Yesu.Ipo huawei Y360 mkuu ina ka crack kadoogo bei sawa na buree ni 90000 tu mkuu kapicha cheki chiniView attachment 827062