weka picha....Nina simu ya kimarekani imara sana inaitwa violet 5pro shs 350,000/- ukiiona itaipenda mwenyewe niko Mbezi beach Tangi bovu. 0754 597809
Njoo nikupe huawei honor 5X
Basi njoo uchukue lenovo a6000 with 5 inch 300,000/= au microsoft lumia 540 mpyaaaa ndani ya box 330,000/=Hiyo itakuwa kubwa sana, siwezagi kutumia simu zenye kioo kikubwa zaidi ya 5" mkuu.
unaleta maringo ya haipungui hata senti moja wakati ushaambiwa hataki HUAWEI! Wewe hapa ndio unabembeleza achukue HUAWEI, usilete maringosema tu kwavile umesema hautaki Huawei. Ila ningekupa hii HUAWEI P6
ila HAIPUNGUI HATA SENTI )
Kweli watu hatufanani!Mimi masimu makubwa ndio haswaaaa yangu.Hiyo itakuwa kubwa sana, siwezagi kutumia simu zenye kioo kikubwa zaidi ya 5" mkuu.
Kweli watu hatufanani!Mimi masimu makubwa ndio haswaaaa yangu.
Labda sababu mimi ni mrefu
If you know what I mean
Duuuuuh basi mimi natumia size hiyo unayoitaka wewe miezi mitatu sasa am just phucken tired.Sure I know, mimi kwa kweli napenda very portable phone kiasi ambacho sihitaji kuikumbatia kwa mikono miwili, au naishika huku nina wasiwasi wa kuidondosha.
So kioo cha 4.7" mpaka 5" ni ideal kwangu, ikishavuka 5" naona inanichosha tu.
Duuuuuh basi mimi natumia size hiyo unayoitaka wewe miezi mitatu sasa am just phucken tired.
Ni such a nice phone lakini sasa nimeshamiss simu zangu kubwa.
Em nichek 0719442021 tuoneNa mm natafutaa iphone 4 au 5 nina samsung j2 tunabadilishana nakuongeza pesa kidgo
Ipo nyeupe kwa 370k fixed....ni pmhamna mtu mwenye Note 3