Shiling ngap hyoMkuu kama uko seriaz nikuachie microsoft 640 used one week
Lumia 950 using mtalk
mkuu, sema tu kwavile umesema hautaki Huawei. Ila ningekupa hii HUAWEI P6 yangu hapa mpya kabisa ( Ram 2GB, Camera 8MP, front 5MP, rangi nyeupe. HAINA MKWARUZO HATA MMOJA. Ina miezi miwili tu tangu itoke dukani. Bei ni 250,000 ila HAIPUNGUI HATA SENTI )
mkuu leta namba yako nikutumie picha.Mkuu weka picha ya hiyo simu, tunaweza kufanya biashara.
Njoo nikupe A3 wewehamna mtu mwenye Note 3

Siuzi waliyonipa JF bwanaaa.Wewe jf wamekupa zawadi sasa unataka kuibana![]()
![]()
![]()
![]()




Okmkuu leta namba yako nikutumie picha.
Budget 320..
Mpya zitapewa kipaombele.........Used kma ipo iwe katika hali nzuri
Isiwe Tecno wala huawei...
Njoo nikupe Huawei honor 5X mpyaaaa nimeitumia mwezi tuuu!!Budget 320..
Mpya zitapewa kipaombele.........Used kma ipo iwe katika hali nzuri
Isiwe Tecno wala huawei...
Njoo nikupe huawei honor 5XMkuu weka picha ya hiyo simu, tunaweza kufanya biashara.