Na Takukuru na Usalama Wa Taifa wasipogundua hii aina ya hujuma inayo endelezwa na TTCL .basi ni kuzidiwa maarifa na kwa utawala Wa Raisi Magufuli.how come 4g .kwahiyo wanamaana mpaka watanzania wote waje wafikie kununua simu za 4g ambazo mpaka Leo hii sizani ziko zaidi ya laki 2.huu ni ukichaa au tamaa ya aina gani ya rushwa isiyo ataa na chembe ya uzalendo .